Waziri wa Kazi na Ajira,Gaudensia
Kabaka akizungumza wakati akizindua Baraza la Wafanyakazi wa Mfuko wa
Bima ya Afya(NHIF) jijini Arusha leo,kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa
NHIF,Michael Mhando na kulia ni Makamu Mwenyekiti aliyechaguliwa wa
Baraza la Wafanyakazi,Deudedit Rutazaa.
Naibu Mkurugenzi wa Mfuko wa Bima ya
Afya nchini(NHIF),Michael Mhando akitoa hotuba yake leo wakati wa
mkutano wa uchaguzi na uzinduzi wa Baraza la Wafanyakazi wa mfuko huo.
Makamu Mwenyekiti wa Baraza la
Wafanyakazi wa Mfuko wa Bima ya Taifa,Deusdedit Rutazaa akizungumza
baada ya kuchaguliwa na kuhaidi kutoa utumishi uliotukuka.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF)wakiimba wimbo wa Mshikamano kuhamasisha umoja na maslahi bora kazini.
Wajumbe wa mkutano wa Baraza la
wafanyakazi wa Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF) wakifatilia kwa makini mada
zilizokuwa zikitolewa katika mkutano huo.
Wajumbe wa mkutano wa Baraza la
wafanyakazi wa Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF) wakifatilia kwa makini mada
zilizokuwa zikitolewa katika mkutano huo.
Waziri wa Kazi na Ajira,Gaudensia Kabaka(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya NHIF.
Waziri wa Kazi na Ajira,Gaudensia Kabaka(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na Mameneja wa mfuko wa NHIF.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni