MWENGE WA UHURU WACHANJA MBUGA VISIWA VYA ZANZIBAR 2015.
Kamanda Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar, Brigedia Jenerali Cyrill Ivor Mhaiki akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa mkimbiza mwenge kitaifa, Arnold Litimba wakati mwenge huo ulipofika Makao Makuu ya Brigedi hiyo Migombani mjini Zanzibar mwishoni mwa wiki.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni