Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Nyusi akijibu masuala wakati alipofanya mahojiano na waandishi wa habari katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo akimaliza ziara yake Zanzibar(pichani) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar ZBC Hassan Mitawi (kulia) akiuliza masuala mbali mbali kwa Rais huyo(katikati) makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,(Picha na Ikulu.}
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Alo Mohamed Shein akifuatana na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Nyusi akiondoka katikaUwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo akimaliza ziara yake Zanzibar na kuelekeaDodoma,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Nyusi akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo akimaliza ziara yake Zanzibar na kuelekeaDodoma(pichani) akiagana na Viongozi wa Ulinzi,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Nyusi akiagana na Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo akimaliza ziara yake Zanzibar na kuelekea Dodoma [Picha na Ikulu.]
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni