Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi
ya Viongozi wa Kamati ya maandalizi ya Maonyesho ya Biashara ya China
‘Expo Central China 2015′, wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa Mikutano wa
‘Wuhan International Exhibition Centre VVIP Room’. Mkutano huo umeanza
leo Mei 18 2015 jijini Wuhan, Jiombo la Hubei. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (katikati) akiwa na
baadhi ya Viongozi wa nchini China, Katibu wa Chama Tawala cha CPC cha
Nchini China, Jimbo la Hubei, Li Hongzhong (kushoto) na wengine, wakati
alipofungua Maonesho ya Biashara ya China ‘Expo Central China 2015′,
yaliyoanza leo Mei 18, 2015, Jimbo la Hubei, Jijini Wuhan nchini China.
Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa na Katibu wa
Chama Tawala cha CPC cha Nchini China, Jimbo la Hubei, Li Hongzhong
(kushoto) wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Biashara ya China ‘Expo
Central China 2015′. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpongeza wa na
Katibu wa Chama Tawala cha CPC cha Nchini China, Jimbo la Hubei, Li
Hongzhong, baada ya kuzungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo.
Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Naibu
Waziri Mkuu wa China, Wang Yang, wakati walipokutana kwa mazungumzo
baada ya Makamu kufungua rasmi Maonesho ya Biashara ya China, leo Mei
18, 2015 kwenye Ukumbi Mikutano wa ‘Wuhan International Exhibition
Centre, jijini Wuhan Jimbo la Hubei nchini China. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati
akifungua rasmi Maonesho ya Biashara ya China, ‘Expo Central China
2015′, ulioanza leo Mei 19, 2015 kwenye ukumbi wa mikutano wa ‘Wuhan
International Exhibition Centre, uliopo Jijini Wuhan Jimbo la Hubei
nchini China. Picha na OMR
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni