Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akizungumza na viongozi wa
wizara mbalimbali pamoja na Mashirika ya Kimataifa kabla ya kuzindua
kikosi kazi cha kupambana na
uhalifu wa kimazingira nchini kitakachokabiliana na Uvuvi haramu,
Uwindaji haramu, Uvunaji wa miti haramu pamoja na uchimbaji wa madini
haramu. Kikosi kazi hicho kimeundwa kwa kushirikisha Wizara za Mambo ya
Ndani ya Nchi, Wizara Maliasili na Utalii, Wizara ya Maendeleo ya Mifugo
na Uvuvi na Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira). Tukio la uzinduzi huo
lilifanyika katika Hoteli ya Hyatt, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu akizungumza na viongozi
wa wizara mbalimbali pamoja na Mashirika ya Kimataifa kabla ya Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wapili kushoto-meza kuu),
kuzindua kikosi kazi cha kupambana na
uhalifu wa kimazingira nchini kitakachokabiliana na Uvuvi haramu,
Uwindaji haramu, Uvunaji wa miti haramu pamoja na uchimbaji wa madini
haramu. Katika hotuba yake IGP Mangu aliomba ushirikiano na wananchi
katika kupambana na uharibifu wa mazingira nchini. Tukio la uzinduzi huo lilifanyika katika Hoteli ya Hyatt, jijini Dar es Salaam leo. Kulia meza kuu ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Makamu
Mwenyekiti wa Shirika la Kimataifa la Utunzaji wa Mazingira (ICCF) la
nchini Marekani, Dk Kaush Arha akizungumza na viongozi wa wizara
mbalimbali nchini pamoja na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa baada ya
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia meza kuu),
kuzindua kikosi kazi cha kupambana na uhalifu wa kimazingira
kitakachokabiliana na Uvuvi haramu, Uwindaji haramu, Uvunaji wa miti
haramu pamoja na uchimbaji wa madini haramu nchini. Uuzinduzi huo
ulifanyika katika Hoteli ya Hyatt, jijini Dar es Salaam leo. Wapili kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Viongozi
mbalimbali wa Wizara Maliasili na Utalii, Wizara ya Maendeleo ya Mifugo
na Uvuvi na Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi pamoja na Wakuu wa Mashirika mbalimbali ya Kimataifa
wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (hayupo
pichani) wakati alipokuwa akizindua Kikosi Kazi kitakachokabiliana na
uhalifu wa kimazingira nchini kitakachopambana na Uvuvi haramu, Uwindaji
haramu, Uvunaji wa miti haramu pamoja na uchimbaji wa madini haramu.
Tukio la uzinduzi huo lilifanyika katika Hoteli ya Hyatt, jijini Dar es
Salaam leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akijibu maswali mbalimbali
ya waandishi wa habari mara baada ya kuzindua Kikosi Kazi
kitakachokabiliana na uhalifu wa kimazingira nchini kitakachopambana na
Uvuvi haramu, Uwindaji haramu, Uvunaji wa miti haramu pamoja na
uchimbaji wa madini haramu. Kikosi kazi hicho kimeundwa kwa kushirikisha
Wizara za Mambo ya Ndani ya Nchi, Wizara Maliasili na Utalii, Wizara ya
Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi na Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira).
Tukio la uzinduzi huo lilifanyika katika Hoteli ya Hyatt, jijini Dar es
Salaam leo. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni