Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (wa sita kulia) pamoja na Viongozi na wananchi wa wakiwa katika
swala ya Magharibi iliyoswaliwa katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni jana wakati wa futari iliyotayarishwa kwa Wananchi wa Mkoa wa kaskazini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Wananchi
na Waislamu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakiitikia dua Iliyoombwa baada
ya Swala ya Magharibi wakati walipoalikwa katika Futari iliyotayarishwa
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika futari ya pamoja nao alipowaalika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni jana,[Picha na Ikulu.]
Akinamama wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakiwa katika Futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni,[Picha na Ikulu.]Mke wa Rais wa Zanzibar na Mama Mwanamwema Shein (katikati) akiwa na Viongozi katika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein kwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni jana
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni