Muonekano
wa nje wa Jengo jipya la Ukumbi wa Mikutano wa kisasa wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Mkoani Dodoma. Ukumbi huu utaanza kutumika rasmi Julai
10 - 12, 2015 wakati wa Mkutano Mkuu wa CCM wa kupitisha jina la Mgombea
Urais atakayeipeperusha bendera ya CCM kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwezi
Oktoba mwaka huu. Ukumbi huu unauwezo wa kuchukua Watu zaidi ya 3000.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akiwaongoza baadhi ya wanahabari waliotembelea Ukumbi huo leo.
Muonekano wa ndani ya Ukumbi huo.
Mafundi wakimalizia ukarabati wa ndani ya Ukumbi huo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni