Naam! Kazi ni Kazi tu
KAZI ni kazi, alimradi iwe ya halali na
kisha mkono uende kinywani, ndio ishara inayoonekana kwa kijana huyu ambae
hakupatikana jina lake, katika eneo la Mkoani Pemba, akiwa amebeba madumu
matupu ya mafuta ya kupikia kama sehemu ya kazi yake,
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni