BENKI ya CRDB imewataka Watanzania kutembelea banda lao ili
kupata huduma mbalimbali za Fedha.
Akizungumza katika
Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama sabasaba yanayofanyika
katika viwanja vya Sabasaba, Ofisa wa benki hiyo, John Titus amesema kuwa banda
lao linashughulika na kufungua akaunti na kumuhudumia mteja.
Aliongeza kuwa
Benki ya CRDB pia imeweka Mobile Branch ambayo hufanya kazi zote
zinazofanywa na benki hiyo ikiwemo huduma za kuweka fedha na kutoa.
Titus alisema pia
wanahuduma ya Jumbo ambayo ni akaunti kwa ajili ya watoto.
Alisema akaunti
hiyo huwapa watoto fursa ya kuwekezewa fedha zitakazowasaidia katika masomo na
maisha yao ya baadae.
Wateja
wa Benki ya CRDB wakipata huduma za Fedha katika Mobile Branch katika
maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba Barabara ya Kilwa.
Wateja
wa Benki ya CRDB wakipata huduma za Fedha katika Mobile Branch katika
maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba Barabara ya Kilwa.
Gari aina ya Passo ambayo itakabidhiwa kwa mshindi wa mwezi Juni katika viwanja vya Sabasaba.
Ofisa
wa Benki ya CRDB, David John akitoa ufafanuzi kuhusu Huduma ya
Simbanking kwa mteja aliyefika katika banda la CRDB katika maonyesho ya
Sabasaba.
Mteja akipata huduma katika banda la CRDB.
Mteja akiweka sahihi baada ya kufungua akaunti.
Ofisa
Mauzo wa Benki ya CRDB, Pamela Haule akitoa huduma kwa Hawa Hashimu
ambaye aliyefika kufungua akaunti katika Viwanja vya Sabasaba.
Ofisa Mauzo wa Benki ya CRDB, Pamela Haule akitoa huduma kwa wateja waliofika katika banda la benki ya CRDB.
Ofisa
wa Benki ya CRDB, John Titus (katikati) akimuhudumia mteja wa benki hiyo
aliyefika katika banda la benki hiyo, Gerald Stanslaus katika maonyesho
ya Sabasaba.
Wateja wakipata huduma katiba banda la CRDB.
Mteja akiweka Passworld baada ya kufungua akaunti.
Wateja wakipa huduma katika Mobile Branch.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni