Alhamisi, 2 Julai 2015

WAHARIRI NA WAANDISHI WATEMBELEA HIFADHI YA KISIWA CHA SAA NANE JIJINI MWANZA LEO

Wahariri na waandishi wa habari kutoka maeneo mbalimbali nchini wakielekea kutalii na kujifunza kwenye Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Saa Nane jijini Mwanza leo.

Mwandishi wa TBC mkoa wa Manyara,Ben Mwaipaja akiweka Kamera yake vizuri kuchukua matukio

Wahariri na waandishi waklwasili Kisiwani Saa Nane

Mdau wa Kampuni ya Kili Ink,Anwary Msechu akiwa kazini kuchukua kumbukumbu ya ziara nzima.

Mwandishi wa habari Radio Free Afrika ,Casilda Mgeni Mlimila akiwaongoza wenzake kutembelea vivutio vya Kisiwa cha Saa Nane.

Jiji la Mwanza limezungukwa na mawe makubwa ambayo ni kivutio kikubwa kwa wageni wanaotembelea .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni