Jumanne, 7 Julai 2015

Rais Kikwete aongoza kikao cha Dharura cha wakuu wa nchi za EAC

yo1

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakati wa mkutano wa dharura wa wakuu wan chi za jumuiya hiyo uliofanyika ikulu jijini Dar es salaam leo(picha na Freddy Maro)
yo2

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni