Jumanne, 7 Julai 2015

Dk Shein afutarisha mkoa wa kaskazini Unguja

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa sita kulia) pamoja na Viongozi na wananchi wa wakiwa katika swala ya Magharibi iliyoswaliwa katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni jana wakati wa futari iliyotayarishwa kwa Wananchi wa Mkoa wa kaskazini Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Wananchi na Waislamu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakiitikia dua Iliyoombwa baada ya Swala ya Magharibi wakati walipoalikwa katika Futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein   (katikati) akiwa  na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika futari ya pamoja nao alipowaalika   katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni jana,[Picha na Ikulu.]
 Akinamama wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakiwa katika Futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni,[Picha na Ikulu.]
 Mke wa Rais wa Zanzibar na Mama Mwanamwema Shein (katikati)  akiwa na Viongozi katika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein kwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika viwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni jana

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni